Igembe Nsabo
Member
- Jun 4, 2010
- 87
- 15
Hivi kweli nchi hii inaweza kubadilika na kuwa nchi ambayo itakuwa na maendeleo ya kweli??
Nilikuwa naangalia trend ya bajeti ya mwaka huu na mwelekeo wa uchumi wetu naona ni kama vitu viwili tofauti kabisa! na ukiangalia miaka saba nyuma enzi za bwana Ben Mkapa! Makusanyo ya kodi yalikuwa yanaongezeka mwezi hadi mwezi na deni la taifa lilikuwa linapungu kwa kiasi kikubwa! "decreasing at an increasing rate" na hata matumizi hayakuwa yanapanda kama sasa ikilinganishwa na mapato! Sasa hivi is more than worse! ona bidhaa zinavyopanda kiholela, ukianzia na bei ya madafu yetu ukipeg na $... aibu tupu...
Someni wenyewe mpate na mjaribu ku compare na bajeti za miaka kama saba hivi ndo mtajua wenyewe! hivi kweli maisha bora kwa kila Mtanzania ndo hayooo!!?
NB: Wachumi jaribu kutusaidia kupata mwelekeo mzuri na tujaribu kuichambua Bajeti ya Serikali kama Mhe. Mkulo atakavyotamba nayo........!