robby one for really
Member
- Jan 17, 2013
- 29
- 8
Pamoja ya yote yaliyomo kwenye bajeti ya mwaka 2021/2022.
Nashukuru kwa serikali kwa kusikia kilio changu na mapendekezo yangu ya muda kitambo kwa baadhi ya watendaji wetu wa ngazi za chini huku.
NINA MAMBO MAWILI MKUU
1. Swala la madiwani, wenyeviti wa vijiji, vitongoji pamoja na mitaa.
Swala la madiwani.
Madiwani kwa muda mrefu wamekuwa wanachangamoto ya kupata viposho vidogo.
Sasa kusudio langu ni kuomba na ombi la pendekezo la kuomba waongezewe viposho vyao kwa nia ya kuweza kuongeza ufanisi wa utendaji wao wa kazi.
Kwanini hilo,
Kutokana na kuwepo kwa posho kidogo ndio sababu unakuta kumekuwepo ba udorofu wa miradi kupitia usimamizi wao kwenye kamaka na kupeleka miradi kutokufanya vizuri.
PILI, SWALA LA WENYEVITI WA VIJIJI, VITONGOJI NA MITAA
Hawa naomba tufanye mchakato wa kuwaingiza kwenye malipo ya kiserikali kwani Hawa Ndio mamlaka ya mwisho ya kiserikali na ndio katiba inaowatambua.
Kwanini mapendekezo hivyo,KWA sababu kubwa ya kimahitaji, KITENDO cha kushindwa kuwalipa na KUTAKA ndio wasimamizi wa mitaa, Vijiji na Vitongoji ama maendeleo kwenye maeneo yao kuna dorofisha kwakuwa tu hawana posho wala mishahara.
PESA ZITATOKEA WAPI?
Ombi langu kwa chama na serikali kuamua kupeleka mswada wa sheria bungeni ili kuwez kupunguza mshahara wa wabunge pamoja na marupurupu yao ili hizo fedha ndizo zirejee huku chini kwa madiwani na wenyeviti wa vijiji,mitaa na vitongoji.
______________
Nashukuru kwa serikali kufanyia kazi maono na pendekezo langu la muda kitambo.
Ijapo njia ya kupata chanzo cha mapato hata kama hakijafuatwa cha kupunguzwa kwa mishahara ya wabunge.
Lakini kitendo Cha kukumbuka na kuingiza kwenye utaratibu ni jambo la kishujaa.
Nasubiria na Naamini bajeti ijayo itawagusa wenyeviti wa Vijiji, Vitongoji na Mitaa.
Maana ya sasa imeishia kwa maafisa Tarafa na Watendaji wa Kata.
NAWASALIMIA KWA JINA LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA [emoji1241]
By Mr Sheja Rb
Robert Shejamabu
Ramadhan Njombe
Tz kwanza [emoji1241]