peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Mradi mkubwa ushfanyika; iliyobaki mingi ni ya kikweteBunge la Bajeti limemalizika July2021, hadi sasa hakuna mradi Hata mmoja umeanza au umefanyika kutoka na Bajeti ya 2021/22. Ukinipa Tarura wako hoi, REA wapo hoi, tanesco wako hoi, halmashauri ziko hoi, Tanroads wako hoi, Kila Anakotembelea Rais Amess Hata kuitaja ilani ya ccm 2020/25 . Serikali haina fedha? SGR kimya , bwawa la Nyerere kimya
Kwahiyo sasa hivi Rais anatakaiwa aachame na miradi ya Magu, aanzishe miradi yake mingine ili sisi wazee wa kulalamika kila kukicha tupaye cha kusema kwamba kila Rais anakuja na jipya.
Hii ncji im3jaa mataahira kibao.
Kwa hiyo,wewe umeona umeandika sanaa, ccm si wapendi,lakini 2015 to 2021 miradi ipoipo bwana,Sgr,midege hiyo,Busisi darajani,bwawa la nyerere, barabara njia nane mpaka kibaha si moro kabisa.Mradi mkubwa ushfanyika; iliyobaki mingi ni ya kikwete
MIRADI ILIYOFANYIKA 2015-2020
1. Kununua Wabunge, madiwani Upunzani-bilioni zaidi ya 30 zilitumika.
2. Kuua upinzani#
3. Wasio julikana -Walilipwa fedha nyingi.
4. Kujilimbikizia.
5.Sinema ya Mo- ewji na kuveshwa khanga.
Bunge la Bajeti limemalizika July2021, hadi sasa hakuna mradi Hata mmoja umeanza au umefanyika kutoka na Bajeti ya 2021/22. Ukinipa Tarura wako hoi, REA wapo hoi, tanesco wako hoi, halmashauri ziko hoi, Tanroads wako hoi, Kila Anakotembelea Rais Amess Hata kuitaja ilani ya ccm 2020/25 . Serikali haina fedha? SGR kimya , bwawa la Nyerere kimya
Bajeti iliyosomwa na iliyopitishwa na Bunge July 2021/22 ni Trilioni of money, ulichotaja hapo ni bilioni of money sasa ni more than 90 days tangu kusomwa kwa bajeti ya serikali .Kama una kampuni na umejiunga na mfumo wa manunuzi wa TANEPS, utakua unajua TARURA wametangaza miradi ya barabara zaidi ya 200, TANROADS wametangaza miradi zaidi ya 60, na mingine wakandarasi wamekua awarded contracts.. bado kuna miradi ya maji zaidi ya 150.. Arusha city council wametangaza ujenzi wa shule zaidi ya tatu na wakandarasi tayari wamekua awarded soon kazi zinaanza.. kifupi miradi mingi and the country is going to be busy
Au unataka tender zitangazwe redioni na mitaani kwa PA systems??
Bajeti iliyosomwa na iliyopitishwa na Bunge July 2021/22 ni Trilioni of money, ulichotaja hapo ni bilioni of money sasa ni more than 90 days tangu kusomwa kwa bajeti ya serikali .
Wewe takataka unapenda kubishqna halafu huna akili.Bajeti iliyosomwa na iliyopitishwa na Bunge July 2021/22 ni Trilioni of money, ulichotaja hapo ni bilioni of money sasa ni more than 90 days tangu kusomwa kwa bajeti ya serikali .
Wewe takataka unapenda kubishqna halafu huna akili.
Nimekutajia summary tuu ya sector ya ujenzi kwa sababu naifatilia kwa ukaribu.. bado kuna afya, utalii na sector nyingine kibao..
Do some research and then speak.. kwani mama kakata zile buku saba, nini?? Huko Lumumba mmepoteana vibaya mmnoo.
Bunge la Bajeti limemalizika July2021, hadi sasa hakuna mradi Hata mmoja umeanza au umefanyika kutoka na Bajeti ya 2021/22. Ukinipa Tarura wako hoi, REA wapo hoi, tanesco wako hoi, halmashauri ziko hoi, Tanroads wako hoi, Kila Anakotembelea Rais Amess Hata kuitaja ilani ya ccm 2020/25 . Serikali haina fedha? SGR kimya , bwawa la Nyerere kimya
Bunge la Bajeti limemalizika July2021, hadi sasa hakuna mradi Hata mmoja umeanza au umefanyika kutoka na Bajeti ya 2021/22. Ukinipa Tarura wako hoi, REA wapo hoi, tanesco wako hoi, halmashauri ziko hoi, Tanroads wako hoi, Kila Anakotembelea Rais Amess Hata kuitaja ilani ya ccm 2020/25 . Serikali haina fedha? SGR kimya , bwawa la Nyerere kimya
Kwa siku 90 unaweza kujenga hospital ya 2.5 billion ? Na kumalizaArusha jiji wajengewa hospitali ya kwanza yenye hadhi ya Jiji ya kisasa EAC, Watali sasa kutibiwa Tanzania badala ya Kenya
Rais Samia Suluhu Hassan aanza kuzindua miradi ya awamu yake, Mmoja kati yake ni Hospitali ya kisasa ya 2.5bl Mhe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan anazindua mradi mkubwa wa Hosptali ya kwanza ya Jiji iliyopo maeneo ya Njiro Jijini humo ujenzi wake umegharimu...www.jamiiforums.com
Si kitu cha ajabu - UVIKO-19 umetikisa dunia nzima. Uchumi wa dunia unaaza kuamka kidogo kidogo bado ya chanjo kupatikana . Tanzania nayo iliathiriwa na ugonjwa wa Corona - ingawa viongozi walikuwa wanadai haipo.Bunge la Bajeti limemalizika July2021, hadi sasa hakuna mradi Hata mmoja umeanza au umefanyika kutoka na Bajeti ya 2021/22. Ukinipa Tarura wako hoi, REA wapo hoi, tanesco wako hoi, halmashauri ziko hoi, Tanroads wako hoi, Kila Anakotembelea Rais Amess Hata kuitaja ilani ya ccm 2020/25 . Serikali haina fedha? SGR kimya , bwawa la Nyerere kimya