Bajeti ya Serikali ya Tanzania ilisomwa July 2021 sasa ni October 2021 Hakuna miradi ambayo imefanyika.

Tatafahamiana tu! Kuna watanzania mabwege sana humu! Wanafikiri kuongea maneno matamu ndo kutenda? Huyo bibi yenu hana lolote, mda utaongea!
Maandishi ni jambo moja, utendaji ni jambio lingine, subira yavuta kheri...
 
Kwa siku 90 unaweza kujenga hospital ya 2.5 billion ? Na kumaliza
Hiyo miradi yote mi JPM na huyuhyu JPM ndo alimuletea sifa kikwete kwenye ujenzi ndo maana **** watu kama Zitto anakuja kusema Kikwete ndo Kajenga barabara kilometer nyingi huku akisahau mzimamizi wa wizara hiyo alikuwa JPM!
 
Andamana basi, ukamfufue kibwengo
 
Mkuu hayo ni makaratasi watu wanataka waone! Hatuna tatizo na kutangaza siku 90 ni robo mwaka bado unatangaza tender kweli?
 
Andamana basi, ukamfufue kibwengo
Wewe najua unapenda maneno na ushabiki uhalisia hutaki! Mambo mengi yamepooza ndo maana mama akaja na mbinu ya fedha za korona wewe subiri matokeo! Infrastructure haijawahi kuendeshwa kisiasa ikatoa matokeo!
 
Huna akili. The cult follower
 
Mkuu hayo ni makaratasi watu wanataka waone! Hatuna tatizo na kutangaza siku 90 ni robo mwaka bado unatangaza tender kweli?
Toka nianze kufuatilia bajeti, kwa mwaka huu wa Fedha 2021/2022, Halmashauri, Majiji wamepeleka fedha nyingi sana kwenye miradi ya Maendeleo kuliko mwaka wowote ule,
Kwa mfano, Halamashauri moja naijua iko mkoa wa Pwani imeshapeleka zaidi ya bilioni mbili kwenye utekelezaji wa miradi kwa Robo ya kwanza tu, hizi ni hela za mapato ya ndani, achana na za Tozo au IMF - COVID, kwa hakika mwaka huu wa fedha 2021/2022 Tanzania itaweka historia katika utekelezaji wa miradi ya Elimu, Afya etc
 
Mpango alikuwa bwawa la Nyerere juzi tu kukagua maendeleo ya ujenzi japo kasema mkandarasi ni learner (hana uzoefu). Sasa hilo bwawa si litabomoka?
Guided argument is different from rational argument. I know the volume is low.
 
Contradiction: Huwezi kununua wapinzani iwapo "umeshawaua." Wapinzani wanaonunulika siyo wapinzani.
 
An
Andika vizuri basi, haraka za nini?
 
Utekelezaji unaweza kuwa mika 6 badala ya miezi au mwaka mmoja tu.
Kutangaza ni.jambo moja na utekerezaji ni jambo jingine.
 
Hiyo miradi yote mi JPM na huyuhyu JPM ndo alimuletea sifa kikwete kwenye ujenzi ndo maana **** watu kama Zitto anakuja kusema Kikwete ndo Kajenga barabara kilometer nyingi huku akisahau mzimamizi wa wizara hiyo alikuwa JPM!
Na nasikia jamaa alikuwa akipanga bajeti yake jaipunguzwi hata senti. Yaani bila yeye hizo KM wanazodai alijenga JK zisingekuwepo
 
Pole Sana ,kwani uzushi unakusaidia nini mkuu? Kesho nakuletea picha za live za miradi ya barabara za lami,madaraja na madarasa.

Sijui mwenzetu uko nchi ipi maana mimi niliko miradi inaendelea kwa kasi sana.
 
Mwenye kufahamu au kuutambua mradi Unaofanyika au Unaofanywa na unaotokana na Bajeti ya serikali ya Tanzania 2021/22 tafadhali ?
Ndio maana nasema wewe na wenzako ni wajinga na wapuuzi wa mwisho,,mimi ninazo km 2.5 za lami mjini napoishi ,ningeona hii mada mchana ningekupigia picha
 
Wewe najua unapenda maneno na ushabiki uhalisia hutaki! Mambo mengi yamepooza ndo maana mama akaja na mbinu ya fedha za korona wewe subiri matokeo! Infrastructure haijawahi kuendeshwa kisiasa ikatoa matokeo!
Yaani nadhani wewe ndio unaota,kwa hiyo mtaani uko peke yako sio? Pole Sana aisee.
 
Shida ya wabongo maneno bila taarifa ndugu yangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…