Bajeti ya Serikali ya Tanzania ilisomwa July 2021 sasa ni October 2021 Hakuna miradi ambayo imefanyika.

Yaan ndani ya siku 90 mama kashatangaza nafasi za kazi zaid ya 5000. Hivi jpm aliajiri watu wangapi kws miaka 5. Kwa hela zilizomwagwa kwenye halmashaur mwakan lazma watu wafungwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…