Bajeti ya Sherehe ya Kuaga Madiwani inatoka fungu gani la bajeti?

Valencia_UPV

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2016
Posts
7,681
Reaction score
9,575
Bajeti ya sherehe ya Kuwaaga Waheshimiwa Madiwani itakayofanyika kata ya WAZO inatoka fungu gani la bajeti?
 
Viungo ni laki sita aisee ni viungo gani hivyo wamekuwa wahindi kwa viungo vingi.
Na dharura ni kitu gani tena.
Bia kreti 180 bado konyagi na k-vant
 
Aisee Nyumba ya mtu hiyo na biashara juu😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…