Jr. Gong Mira
JF-Expert Member
- Dec 14, 2017
- 1,281
- 1,300
Mfano umeamka asubuhi pesa uliyobaki nayo ni shs 4,600. Huna pesa nyingine.
Panga BAJETI yako ya chakula kwa siku nzima.View attachment 1355398
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeambiwa upange bajeti ya pesa ya kula we unaweka usafiri sijui akiba!1000 Nauli kwenda na kurudi nyumbani
Chai nakunywa ofisini
3000 chakula na maji
600 akiba
Haitoshi hata nauli kama unatembelea makalio
Jr[emoji769]
Mfano umeamka asubuhi pesa uliyobaki nayo ni shs 4,600. Huna pesa nyingine.
Panga BAJETI yako ya chakula kwa siku nzima.View attachment 1355398
Sent using Jamii Forums mobile app
1000 Nauli kwenda na kurudi nyumbani
Chai nakunywa ofisini
3000 chakula na maji
600 akiba
Ikr nimeona inatoshea vyote hivyo. Ahsante.Umeambiwa upange bajeti ya pesa ya kula we unaweka usafiri sijui akiba!
Hahahaha600 bado la kuingia JF