Ikiwa ni siku ambayo Waziri Mpango anawasilisha Mwelekeo wa hali ya Uchumi mwaka 2018 na mpango wa maendeleo ya Taifa 2019/2020 pia hali ya ukuaji wa Uchumi na maendleo katika nchi za Afrika Mashariki, nimeshutushwa na Bajeti ya Rwanda ambayo toka 2017/2018 mpaka hii ijayo ya 2019/210 inaiacha mbali Tanzania, Kenya, Uganda .... RWANDA INAIZIDI TANZANIA KWA BAJETI KUBWA...!!!!
JE, hii inamaanisha ukuaji wa Wa Uchumi wa Rwanda ni mkubwa kuliko Tanzania au inamaanisha Rwanda ni Nchi tajiri kuliko Tanzania...
Karibuni tujadili...
JE, hii inamaanisha ukuaji wa Wa Uchumi wa Rwanda ni mkubwa kuliko Tanzania au inamaanisha Rwanda ni Nchi tajiri kuliko Tanzania...
Karibuni tujadili...