C chuku Member Joined Jun 9, 2009 Posts 40 Reaction score 0 Jul 21, 2009 #1 Wana JF,wizara ya kilimo ndio hiyooooooooo sijui tutegemee nini,mi ninacho ona watanzania tunajua kutengeneza Majina mazuri,hicho kilimo kwanza kitakuwepo kweli au maneno.hebu semeni juu ya hili.
Wana JF,wizara ya kilimo ndio hiyooooooooo sijui tutegemee nini,mi ninacho ona watanzania tunajua kutengeneza Majina mazuri,hicho kilimo kwanza kitakuwepo kweli au maneno.hebu semeni juu ya hili.