Bajeti yako ya sikukuu jana ilikuaje, umetumia kiasi gani kusherehekea ?

Mjanja M1

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2018
Posts
4,058
Reaction score
14,382
Mm Mjanja M1 bajeti yangu ilikuwa ni nauli tu za kunifikisha kwenye majumba ya watu kuupiga Ubweche, maana nimezipitia nyumba kama 5 ivi kwa haraka haraka kuupiga kwenye sikukuu ya jana.

Nilitumia Buku tu, 1000/=

Vipi wewe bajeti yako ilikuwaje.?
 
Nilimtumia ustadhat wangu 40k ya kupika biriani nikaenda kula mchana kisha nikachukua ticket mbili za 10k tukaingia uwanjani saa mbili usiku kutazama burudani ya wananchi, vinywaji nilikua navyo ndani so nilibeba tu hadi eneo la tukio.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…