Bajeti yangu ya leo ilivyokuwa

Bajeti yangu ya leo ilivyokuwa

Applicant

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2020
Posts
1,962
Reaction score
1,751
Habari yenu wazee wa kazi !

Bajeti yangu ya leo ! . . . .

Asubuhi SUPU YA KUKU WA KIENYEJI NA FANTA PINEAPPLE

Mchana MIHOGO YA KUKAANGA NAKITIMOTO NUSU

Usiku BIRIANI na PEPSI ya BARIDI

K ya 80,000

haya mwagikaaaaaa nawewe!
Bajeti yako ya leooo
 
Asubuhi chapati mbili chai na supu ya maharage

Mchana Wali maharage

Ucku Matunda
 
Back
Top Bottom