manyanga21
Senior Member
- Aug 15, 2018
- 164
- 203
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nahitaji moja kati ya gari hizi
Toyota vitz, Old au New model
Suzuki swift Old au New model
Mwenye ist na rastic anakaribiswa
bajeti yangu ya 5M nahitaji gari iwe kuanzia namba C iliyo karibu na D na kuendelea.
NAITAJI MMILIKI WA GARI SIO DALALI
mwenye nalo tafadhali tuwasiliane, maoni au msaada zaidi wa mawazo ya gari ipi ni nzuri kutokana na bajeti yangu hiyo.