Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Kuna utoto mwingi sana siku hizi hapa JF tofauti na miaka ya nyuma ambako tulikuwa tunajadili mambo kwa kutumia kichwa cha juu
Anzisha forum yako mkuu ambayo haina utoto # ## ujinga mbaya sanaKuna utoto mwingi sana siku hizi hapa JF tofauti na miaka ya nyuma ambako tulikuwa tunajadili mambo kwa kutumia kichwa cha juu
Achana na BAK
Huyo kwenye avatar ni wewe?
Aisee nilisahau!Mke wa mtu huyo kaa mbali
Amekata tamaa baada ya maandamano ya Mange kufail tarehe 26/04/2018!!Huyu kaka angu simuoni jukwaani mwenye mawasialiano naye mwambieni nimemmiss sana mdogo wakeee.
View attachment 794785
Nimemmiss sana kila nikipita uzi wa likes simuoni kuna kitu huwa nakifurahia kwakeee aiseee kama kuna mtu ana mawasiliano naye amsalimie sana amwambie mdogo wake nimemmissPole sana mdogo wangu. Natumai yuko poa kabisa ila majukumu ndio yamembana.
Ila nimejikuta naupenda huu uzi. [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]