BAK umepotea nini shida?

Muzine

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2017
Posts
32,366
Reaction score
60,453
Huyu kaka angu simuoni jukwaani mwenye mawasialiano naye mwambieni nimemmiss sana mdogo wakeee.



 
Kwani yale magunio yaliyokutwa ununio yeye alikua hayumo?
 
Kuna utoto mwingi sana siku hizi hapa JF tofauti na miaka ya nyuma ambako tulikuwa tunajadili mambo kwa kutumia kichwa cha juu
Arushaone sjategemea kuona comment yako namna hii

MAAJABU YA MWAKA
 
Kuna utoto mwingi sana siku hizi hapa JF tofauti na miaka ya nyuma ambako tulikuwa tunajadili mambo kwa kutumia kichwa cha juu
Anzisha forum yako mkuu ambayo haina utoto # ## ujinga mbaya sana
 
Pole sana mdogo wangu. Natumai yuko poa kabisa ila majukumu ndio yamembana.

Ila nimejikuta naupenda huu uzi. [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
Nimemmiss sana kila nikipita uzi wa likes simuoni kuna kitu huwa nakifurahia kwakeee aiseee kama kuna mtu ana mawasiliano naye amsalimie sana amwambie mdogo wake nimemmiss
 
Naskia yupo Afrika ya kati kwenye peace keeping mission
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…