Bakari Machumu anafaa kumrithi Zuhura Yunus si vinginevyo

Bakari Machumu anafaa kumrithi Zuhura Yunus si vinginevyo

Ex Spy

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2007
Posts
222
Reaction score
1,827
machumu.jpg

Bakari Machumu - Mkurugenzi Mtendaji Mwanachi Communication Limited​

Bakari kwa muda mrefu amekuwa mtu wa watu, mwenye kuielewa tasnia ya habari na zaidi ni kiongozi ambaye ana haiba ya uongozi.

Wasifu wake unajitosheleza tofauti na wengi ambao wakipewa nafasi hii possibility ya kuboronga ni kubwa sana.

Msiumize vichwa kuhusu wengine, mpeni Bakari nafasi yake tuendelee na mambo mengine!
 
Bakari kwa muda mrefu amekuwa mtu wa watu, mwenye kuielewa tasnia ya habari na zaidi ni kiongozi ambaye ana haiba ya uongozi.

Wasifu wake unajitosheleza tofauti na wengi ambao wakipewa nafasi hii possibility ya kuboronga ni kubwa sana.

Msiumize vichwa kuhusu wengine, mpeni Bakari nafasi yake tuendelee na mambo mengine!
Gerison fits more than anyone you mentioned.
 
Sizani! Labda huko katika ukatibu, mkurugenzi wa taasisi au shirika au balozi

Hapo labda wampe Hilary au Salum au Msemaji Mobale
 
1717865465402.png

CEO of MWANANCHI Communications Ltd (MCL), the largest print & digital content company in Tanzania 🇹🇿. Experienced Managing Editor with a demonstrated history of working in the media production industry. Skilled in Corporate Communications, Storytelling, Editing, Journalism, and Media Relations. Strong business development professional with a BSc focused in Agriculture General from Sokoine University of Agriculture (SUA), MBA from Eastern and Southern Africa Management Institute (ESAMI) and an Executive Masters in Media Leadership and Innovation from Aga Khan University Graduate School of Media & Communication in Kenya, Bakari S. Machumu (BSM) is a media management (and strategy) expert with 25 years experience in the profession. From humble beginning, as a Trainee Reporter at Business Time – then Tanzania’s top financial and economic weekly – to Executive Editor of MCL where he oversaw production of Tanzania’s three top newspapers, Mwananchi; MwanaSpoti Tanzania & MwanaSpoti Kenya and The Citizen, steering MCL to a home of digital revolution – becoming the first ever converged (digital) newsroom in Tanzania’s history.
Between 1998 and 2004, BSM worked with Business Times as Trainee Reporter, Reporter, Senior Reporter, and Features Editor before becoming the first News Editor of Daily Times, a sister paper to Business Times under the Business Times Limited (BTL).

Convergence and transformation
Having used the experience of a countrywide 2015-Election coverage, he capitalized on the countrywide network developed through usage of social media tools to establish a Digital Kwanza network linking all MCL journalisms across the country. It was from this network MCL established the first 24/7-news cycle for print media in the country in June 2016. Come March 2017, he oversaw MCL newsroom convergence, introducing MCL journalists into a-360-degrees journalism for the first time in Tanzania.
He is currently working towards perfecting operations to match a really digital newsroom aimed at making the firm a viable “Print & Digital Content Company”.
 
Back
Top Bottom