Bakari Machumu anafaa kumrithi Zuhura Yunus si vinginevyo

Hana jina huyo jamaa?
 
Watu mda wa kampeni,,,,huku Beti mkwasa huku huyo wa mwanainji na mwingine sijui atamleta nani
 
Naunga mkono hoja BM ana fit, yuko vizuri
View: https://youtu.be/dGDoMpv-oXU?si=uLc5eB2oqKwYNinNP
 
Ntamshangaa akikubali huo uteuzi..yani atoke kuwa CEO akawe msemaji wa ikulu?
 
Shida kubwa ni kwamba wale mnaowaona ndio mnahisi wanajua sana kumbe watu wapo 60m hapa na huwezi kukosa watu wazuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ