Bakari Nondo Mwamnyeto at his prime. Je, anastahili kuwa Man of the Match leo?

Shujaa Mwendazake

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Posts
4,016
Reaction score
6,759
Baada ya kusugua benchi, leo ameongoza jahazi la ulinzi wa Yanga.

Kwa mimi huyu ndio Man of the Match wangu. Kuna muda alikuwa kama kapagawa au kama kavurugwa hivi maruhani yamempanda, alikuwa akiosha na kuanua na kutumia nguvu nyingi sana.

Wanabodi wenzangu, ni nani alistahili hii tuzo ya man of the match?
 
Kwani Leo sijui kalishwa nn anazingua sana ila leo kawasha moto kile nyuma.
 
Diara pia alikua vizuri. Mayele pia kasumbua kule mbele angepunguza ubinafsi kidogo angeondoka na assist nyingi
 
Li mwamyeto Huwa halijui kuanzisha mashambulizi Yeye ni kubutua tu mpira kwenda Mbele.

Hii ndio maana Huwa hapati nafasi kwa Nabi.
 
Baada ya kusugua benchi, leo ameongoza jahazi la ulinzi wa Yanga.

Kwa mimi huyu ndio Man of the Match wangu. Kuna muda alikuwa kama kapagawa au kama kavurugwa hivi maruhani yamempanda, alikuwa akiosha na kuanua na kutumia nguvu nyingi sana.

Wanabodi wenzangu, ni nani alistahili hii tuzo ya man of the match?
kabisa
 
Hii partnership ya Nondo na Job inalipa sana, Bangala mbele yao wana-compliment to each other.
 
Back
Top Bottom