BAKATWA ilishindwa nini kuwa idara ya kutoa vibali vya halal

Kaka yake shetani

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2023
Posts
5,771
Reaction score
14,732
Hujawai kuchunguza bidhaa nyingi zinazotoka nje na ndani kuona nembo halal.

Nembo halal inayobandikwa kwenye bidhaa kama vyakula ikiwa imeambatana na nembo za idara nyengine mfano TBS, ISO, tunza mazingira.

Nembo hizi ni utambulisho zimepitia ukaguzi na kukubalika kutumika kwa wateja na kwa madaraja ya utumiaji.

Kampuni zetu za ndani za uzalishaji hapa ndani kama viwanda vikubwa Bakharesa imekuwa ikitumia nembo moja wapo kwenye list zake halal ili bidhaa yake iweze kutumiwa zaidi na wale wenye imani ya kiislamu na wengine.

Kitu kinachonishangaza ni kwamba kibari hiki na cheti chake kipo Kenya tasisi ya kiislamu Kenya.

Je Tanzania ilishindwa nini kupitia bakwata kuwa na idara hii na kutoa vyeti na vibari ili kupata vipato kwenye taasisi.

Sio tu kwenye bidhaa za viwandani hata machinjioni ya wanyama,mabucha na mambo mengine.

 
Duh!. Pole Mkuu kutokuwa na ufahamu.

Halal siyo taasisi ya Kiislamu kama ilivyo BAKWATA.

Halal kwa lugha ya kiarabu ina maana ya yenye ruhusa, kisafi (kisicho najisi).

Hiyo ni taasisi huru yenye kukagua ubora wa bidhaa kabla ya kufika kwa walaji.

Haihusiki na mambo yeyote ya kidini kama ilivyo kwa BAKWATA.
 
Ufahamu hupo labda jambo ili ufahamu angalia chupa za vinywaji au bidhaa .
Labda utapata kujua sio tu kwenye bidhaa vitu vingi

 

Case closed
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…