Bakery: Unahitaji mashine yoyote kama oven, mixer zipo

Bakery: Unahitaji mashine yoyote kama oven, mixer zipo

Meshaki Richard

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2021
Posts
320
Reaction score
174
Wale wenye wazo la kuanzisha bakery au kuongeza vifaa katika bakery zao tunawakaribisha mashine zote zipo tunapatikana kariakoo mtaa wa masasi na tandamti namba 0688147644 sms/WhatsApp
_______ORODHA HII
HAPA


__OVEN
---MIXER
---BREAD SLICER (MASHINE ZA KUKATA MIKATE)
---PROOFER MLANGO MMOJA NA MIWILI
----MEZA
----RACK
-----DOUGH DEVIDER
----DISPLAY AINA ZOTE ZIPO fuatilia zote hapa chini zaidi

OVEN ZIPO KATIKA SIZE TOFAUTI KUANZIA NDOGO MPAKA KUBWA ZINAZOTUMIA GAS NA UMEME

Oven 1layer na 1tray zipo aina mbili ya gas million moja na laki nane na umeme million moja na laki NNE


1layer na 2tray pia zipo aina mbili gas million mbili na umeme million moja na laki nne


2layer 4tray hapa zipo aina mbili gas million tatu na umeme million mbili na laki nane

3layer 6 tray hapa zipo aina mbili pia za gas million nne na laki tatu na umeme million nne


3layer 9tray hizi ni kubwa zipo aina mbili pia gas million saba na laki tano na umeme million sita na laki nane



Mixer zipo kuanzia ndogo kabisa inayochanganya kg 1 kg 2.5 kg 8 kg 12.5 kg 25 mpaka kg 75

ORODHA YA CAKE MIXER

Kg 1 laki mbili na nusu tu
Kg 2.5 laki sita tu
Kg 8 million moja na laki nne
Kg 12.5 million mbili
Kg 25 million nne na laki nane


Proofer zipo aina mbili mlango mmoja million moja tu na milango miwili million moja na laki nane


Mashine ya kukata mikate million moja na laki nane

Display kuanzia million moja na laki Tisa



IMG_20210319_224416_749.jpg
IMG-20181125-WA0043.jpg
IMG-20181125-WA0030.jpg
images%20(16).jpg
images%20(12).jpg
IMG-20181125-WA0036.jpg
 
Okay tumeona mashine ya juisi ya miwa inatumia umeme upi?
Karibu sana mashine za juisi ya miwa zinatumia umeme wa majumbani yaani single phase na pia ulaji wake ni mdogo sana maana mota yake ni watt 750 tu karibu sana
 
Wakuu kiafya oven ya gas au ya umeme ipi nzuri maana naskia ooh sijui za umeme zinaleta saratani.
 
Wakuu kiafya oven ya gas au ya umeme ipi nzuri maana naskia ooh sijui za umeme zinaleta saratani.
Mkuu nashukuru umesema unasikia hakuna kitu kama hicho

Kikubwa usafi wa tray zako na zilizo nzuri ni zipi zote zipo vizuri japo wengi hupenda gas sababu ya uhuru wa kutumia ila kizuri hali ya umeme ipo stable kwa hiyo ni wewe mwenyewe chaguo lako karibu sana
 
Back
Top Bottom