BAKHRESA badili malengo ya Azam sports club

MIGNON

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2009
Posts
4,108
Reaction score
5,110
Azam sports club ni club ambayo naamini wachezaji wake wana kila kitu lakini imekuwa haifanyi vizuri.
Bakhresa group ibadili malengo ili isijikite katika kuwania ubingwa bali kukuza vipaji na kuuza wachezaji.
Ondoa wachezaji wote wa nje,igeuze iwe club ya kukuza vipaji vya wazawa.
 
Naunga mkono hoja 👍👏
 
Ile team inahitaji overhaul,
Wale viongozi wameshindwa leta mabadiliko, waletwe wapya, leta CEO mpya, muachie nafasi afanye atakavyo ila ahakikishe team inapata ushindi
 
Viongozi wa hiyo timu hawako serious.Kwa uwekezaji walionao na mpira wanaoucheza hiyo timu ni vitu viwili tofauti kabisa.Wameridhika kwa kila kitu hadi inaondoa ike ladha ys ushindani kwa timu kubwa.Alafu wanasema hawana mashabiki wakutosha,sasa mashabiki kwa mpira gani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kukuza Vipaji nadhani ungeongea na kina Alliance et al....

Kama Azam ni Brand na timu yake inasaidia kukuza Brand yake; kwahio kama kumleta Messi au A Big Name kutasaidia hadi huko Botswana (ambapo AZAM inafika) kutambulika ; itakuwa a Job well done.....; Talent Spotting na Scouting its a whole different ball game na hayo yanaweza kufanyika wakati mengine yanafanyika....
 
Azam sports club ni club ambayo naamini wachezaji wake wana kila kitu lakini imekuwa haifanyi vizuri.
Bakhresa group ibadili malengo ili isijikite katika kuwania ubingwa bali kukuza vipaji na kuuza wachezaji.
Ondoa wachezaji wote wa nje,igeuze iwe club ya kukuza vipaji vya wazawa.
Achukue business model ya Mtibwa Sugar, aachane na kushindana na mapacha wa Kariakoo.
 
Mzee bakhresa sabiki wa Simba.. timu yake ikifungwa na Simba haumiii hata kidogo

CEO wa Azam shabiki wa yanga ..timu yake ikifungwa na yanga haumiii hata kidogo

Kushangilia Azam n kujitafuti jaka moyo malengo ya timu syo ubingwa

ISSA MNYUNGU tafuta timu Kati ya yanga au Simba huko unatafuta shida TU ndugu yangu
 
Viongozi wa hiyo timu hawako serious.Kwa uwekezaji walionao na mpira wanaoucheza hiyo timu ni vitu viwili tofauti kabisa.Wameridhika kwa kila kitu hadi inaondoa ike ladha ys ushindani kwa timu kubwa.Alafu wanasema hawana mashabiki wakutosha,sasa mashabiki kwa mpira gani.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mashabiki wao ni wale wa Simba aka Mikia FCz Bwimbwi FC, Ngada FC, Ndumba FC, Mwakarobo FC, Kufa Kiume FC.
Ila wachezaji wao wameridhika kweli wanacheza kifaza hata presha hawana.
 
Watu wanaenda wamekunywa supu ya pweza na viazi mviringo kazi kujinyeanyea tu uwanjani wakiongozwa na kale ka feyzal
Ka Fei Utoto kalikuwa kanalalamika ugali sukari sasa wana kila kitu mpaka kulishwa imekuwaje sasa?
 
Kukuza Vipaji nadhani ungeongea na kina Alliance et al....

Kama Azam ni Brand na timu yake inasaidia kukuza Brand yake; kwahio kama kumleta Messi au A Big Name kutasaidia hadi huko Botswana (ambapo AZAM inafika) kutambulika ; itakuwa a Job well done.....; Talent Spotting na Scouting its a whole different ball game na hayo yanaweza kufanyika wakati mengine yanafanyika....
Nimekuelewa sana mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Awakabidhi wachina waiongoze team. 😁

Kwa mchina hamna kazi maalum we ni kiraka, wakifungwa hovyo hovyo wanatupwa kiwandani kuchagua maembe wanapigishwa mzigo wakitoka huko juhudi za kushinda zitarudi 😂

Michezaji inapewa kila kitu ila hola.

Mkalitizame hili menejimenti ya asam.
 
Back
Top Bottom