Naunga mkono hoja 👍👏Azam sports club ni club ambayo naamini wachezaji wake wana kila kitu lakini imekuwa haifanyi vizuri.
Bakhresa group ibadili malengo ili isijikite katika kuwania ubingwa bali kukuza vipaji na kuuza wachezaji.
Ondoa wachezaji wote wa nje,igeuze iwe club ya kukuza vipaji vya wazawa.
Achukue business model ya Mtibwa Sugar, aachane na kushindana na mapacha wa Kariakoo.Azam sports club ni club ambayo naamini wachezaji wake wana kila kitu lakini imekuwa haifanyi vizuri.
Bakhresa group ibadili malengo ili isijikite katika kuwania ubingwa bali kukuza vipaji na kuuza wachezaji.
Ondoa wachezaji wote wa nje,igeuze iwe club ya kukuza vipaji vya wazawa.
Sana tu, bila jina fulani hupati kazi Lamba2 FC.Mambo ya kuendekeza Udini
Mashabiki wao ni wale wa Simba aka Mikia FCz Bwimbwi FC, Ngada FC, Ndumba FC, Mwakarobo FC, Kufa Kiume FC.Viongozi wa hiyo timu hawako serious.Kwa uwekezaji walionao na mpira wanaoucheza hiyo timu ni vitu viwili tofauti kabisa.Wameridhika kwa kila kitu hadi inaondoa ike ladha ys ushindani kwa timu kubwa.Alafu wanasema hawana mashabiki wakutosha,sasa mashabiki kwa mpira gani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ka Fei Utoto kalikuwa kanalalamika ugali sukari sasa wana kila kitu mpaka kulishwa imekuwaje sasa?Watu wanaenda wamekunywa supu ya pweza na viazi mviringo kazi kujinyeanyea tu uwanjani wakiongozwa na kale ka feyzal
Zile juisi "zinawalegeza"Ka Fei Utoto kalikuwa kanalalamika ugali sukari sasa wana kila kitu mpaka kulishwa imekuwaje sana?
Nimekuelewa sana mkuuKukuza Vipaji nadhani ungeongea na kina Alliance et al....
Kama Azam ni Brand na timu yake inasaidia kukuza Brand yake; kwahio kama kumleta Messi au A Big Name kutasaidia hadi huko Botswana (ambapo AZAM inafika) kutambulika ; itakuwa a Job well done.....; Talent Spotting na Scouting its a whole different ball game na hayo yanaweza kufanyika wakati mengine yanafanyika....