Bakhresa, ex wife settle dispute


Hapo sielewi kama ndoa ilidumu kwa miaka minne mali zote hizo zimezalishwa ndani ya miaka minne au huyo mwanamke alizikuta? Nini mchango wake kwenye hizo mali au kwa kuwa aliolewa basi kila kitu pasu pasu?
 
Hapo sielewi kama ndoa ilidumu kwa miaka minne mali zote hizo zimezalishwa ndani ya miaka minne au huyo mwanamke alizikuta? Nini mchango wake kwenye hizo mali au kwa kuwa aliolewa basi kila kitu pasu pasu?
With the personality ya akina Bakhresa definelity hizo mali zote mwanamke alizikuta hilo halina ubishi
 
dah huyu jamaa ni kweli kabisa apaswa kupewa hiyo title ya multi milionare. licha ya kugawana hizo mali zote bado kuna zingine alikuwa hata hazikumbuki worth billions of money.......damn:ranger:
 
dah huyu jamaa ni kweli kabisa apaswa kupewa hiyo title ya multi milionare. licha ya kugawana hizo mali zote bado kuna zingine alikuwa hata hazikumbuki worth billions of money.......damn:ranger:
Hahaha!! Mkuu umeona ehee wengi walikuwa hawaja note hicho kitu yaani jamaa hadi baadhi ya mali alikuwa kama vile kazisahau
 
Huyo Bi. Nasra kwa mujibu wa rekodi zilizowasilishwa mahakamani alipoacha kazi baada ya kuolewa na Mohamed alikuwa typist mshahara wake Kshs. 5,433 (yaani kama Tshs. 95,000/- hivi) kwa mwezi.

@Taso

Talaka haikutolewa kinguvu mahakamani. Ni Mohamed mwenyewe ndio aliamua kumtaliki kwa taratibu za Kiislam baada ya kushindwana tabia. Mahakamani walikwenda kumaliza masuala ya mgao wa mali tu baada ya Mohamed kutaka arudishiwe mali kibao alizompa na alizoibiwa.

-----

Hii ni kesi ya ukikaa na uaridi lazima utanukia. Ni ngumu kulala na bilionea halafu uondoke maskini. Wakati wa ndoa yao tu Bi. Nasra alipewa access ya kutoa pesa kwenye akaunti ya mamilioni, ambapo aliweza kutoa takribani Kshs. 16,000,000/- (kama Tshs. 272,000,000/-) akawekeza kwenye miradi yake binafsi.

Hawakuzaa mtoto.

Muhimu ndio hivyo ukiwa tajiri inabidi uwe makini sana na suala la ndoa. Waswahili tunasema, "Mkeo sio ndugu yako" Wanawake kiujumla huwa hawana nia njema hata kidogo! Raha yao ni kulaaaa hela ya mwanaume weeee mpaka iishe ndio anafurahi. Yaani akiihamishia yote kwenye mali zenye jina lake, na zingine akiwapatia wazazi wake na ndugu na jamaa zake ndio roho ya mwanamke inafurahi.

Binafsi siungi mkono kabisa hii busara ya kusema eti mtu akiolewa tu basi ana haki ya kupata 50% ya mali iliyopatikana wakati wa ndoa. Ubovu wa hii sheria huwa haiangalii mchango wa moja kwa moja wa mhusika. Maana tuambiane ukweli typist aliyekuwa analipwa mshahara wa Tshs. 95,000/- kwa mwezi atakuwa na uwezo gani wa kuchangia moja kwa moja kwenye mabilioni yote hayo aliyovuna?
 
Huyu Bakheresa sijawahi kumuona hata kwenye picha, anaishi kwa kufuata masharti fulani au ni kawaida tu. Mwenye picha yake naomba atuwekee hapa tumfahamu bilionaire anayetulisha sembe.
 
Mkuu,

Yeye na TBL wanashindana number 1 ya ulipaji wa kodi. That shows you how
wealthy he is. Ila jamaa hufanya mambo kimya kimya.

kuna watu wanavijisent tu lakini hadi bedroom zao tunazifaham zilivyo through media, kama c hii thread am sure wengi wetu tusingejua bakhresa is that rich
 
ndo maana watu mashuhuri marekani na ulaya uwa hawaoi, kuepuka mambo ya kugawana mali anakuwa na girlfriend tu mpka anazeeka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…