Bakhresa Group fanyeni ukaguzi wa ungawenu wa ngano unachanganywa na wahuni:

Bakhresa Group fanyeni ukaguzi wa ungawenu wa ngano unachanganywa na wahuni:

PRINCE CROWN

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2013
Posts
5,210
Reaction score
4,175
Nianze kwa kujitambulisha kama mdau wa viwanda na kiwanda changu kina tumia kwa wingi unga wenu wa Azam Ngano.

hapo mwanzo unga wenu ulikua mzuri sana very soft lakini hivi sasa umekua mbaya ule usoft hakuna ukiuangalia utafikiri umechanganywa na unga wa mahindi au mtama.

hautoi bidhaa nzuri kama mwanzo hivyo kama mdau nawaomba umfuatilie jambo hili maana wajanja niwengi. Na mkicheza tutawahama.
 
Back
Top Bottom