mr pipa
JF-Expert Member
- Jul 26, 2021
- 3,074
- 6,472
Tenga muda chukua wachezaji wako wote uwe unapita kuwa pitisha kwenye viwanda vyako ili waone hela ya mshahara wao inavyopatikana na unapokuwa unawapeleka usiongee nao chochote we nyosha tu vidole kwa ishara
Ukimaliza hapo wapeleke kwenye mashamba yako ya katani na miwa nako wakaone hela yao inavyopatikana toka hapo warudishe kiwanjani, ukiona bado wanazembea wanunulie maovaloli wapeleke viwandani na mashambani alafu sajili upya wachezaji wengine
Maana haiwezekana timu ina pesa alafu inakuwa na watu wa hovyo
Pia soma:Viongozi wa Azam sikilizeni ushauri wangu kama mnataka kweli kuiletea heshima nchi na Bakhresa mwenyewe