Fiziolojia
JF-Expert Member
- Oct 19, 2019
- 815
- 1,080
Tamu sana aisee ..leo nimewanunulia watoto wangu ile kuonja si nikanogewa!!"Biskuti ya chuma"
Marketing team yake ipo vizur kwenye ugunduzLeo nimeonja hii product ya Azam (kwenye picha hapo chini[emoji116]),, aisee!!, sio siri huyu mzee yupo vizuri.
Kuanzia vinywaji, nafaka, mpaka king'amuzi huyu jamaa anakimbiza.
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 1249461
Ana macho ya fursa pamoja na rasilimali fedha, so i guess you already know what it is!Marketing team yake ipo vizur kwenye ugunduz
Mwambie Moo aige na hiyoLeo nimeonja hii product ya Azam (kwenye picha hapo chini[emoji116]),, aisee!!, sio siri huyu mzee yupo vizuri.
Kuanzia vinywaji, nafaka, mpaka king'amuzi huyu jamaa anakimbiza.
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 1249461