Maalim seif anasema CUF ikichukua nchi atavunja muungano na sisi tunasema muungano ukivunjika bhakresa atakuwa mpemba wa kwanza kurudishwa kwao hizo boti zitakuwa zinafanya safari ya unguja na pemba.
kwel mkuu sisi tubaki kuamin uchawi na ujinga. nafkiri utakuwa unafkiria hapo kumpita bakhresa kwa utajiri wa kwenda kunyofoa viungo vya binaadam mwenzako tena mzima