BAKITA tunaomba ufafanuzi wa neno 'kamanda'

BAKITA tunaomba ufafanuzi wa neno 'kamanda'

Fursa Pesa

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2012
Posts
4,631
Reaction score
3,527
Sote tumekuwa tukisikia na kutumia jina KAMANDA, Je nini maana yake? na ni nani hasa walengwa wa matumizi ya neno hilo?
Je ni sahihi kulitumia neno hilo nje ya matumizi yake?
Kama kuna mbadala wa matumizi yake, Je ni yapi na kwanini?
 
Hadi kwenye maneno...!!?

Me naitwa chief hapa kitaa sijui kama ni matumizi sahihi ya hili neno maana sina hadhi ya kuitwa chief!?
 
BASATA inahusika VP na ufafanuzi Wa maneno? stupid..waulize BAKITA ama mtumie msg Oni Sigalla!
Sio stupid, ni jambo la kuelimishana tu.
Please mods fanyeni marekebisho toeni BASATA wakeni BAKITA.
Asante kwa ufafanuzi.
 
Asanteni Wahariri kwa kazi nzuri ya kuhariri na kuweka uzi huu kwenye jukwaa lake sahihi.
 
Back
Top Bottom