Fursa Pesa JF-Expert Member Joined May 30, 2012 Posts 4,631 Reaction score 3,527 Nov 21, 2017 #1 Sote tumekuwa tukisikia na kutumia jina KAMANDA, Je nini maana yake? na ni nani hasa walengwa wa matumizi ya neno hilo? Je ni sahihi kulitumia neno hilo nje ya matumizi yake? Kama kuna mbadala wa matumizi yake, Je ni yapi na kwanini?
Sote tumekuwa tukisikia na kutumia jina KAMANDA, Je nini maana yake? na ni nani hasa walengwa wa matumizi ya neno hilo? Je ni sahihi kulitumia neno hilo nje ya matumizi yake? Kama kuna mbadala wa matumizi yake, Je ni yapi na kwanini?
Jeremia Lucas Member Joined Nov 15, 2017 Posts 8 Reaction score 2 Nov 21, 2017 #2 Mmh hilo neno KAMANDA
Super Handsome JF-Expert Member Joined Jul 16, 2013 Posts 3,844 Reaction score 6,448 Nov 21, 2017 #3 BASATA inahusika VP na ufafanuzi Wa maneno? stupid..waulize BAKITA ama mtumie msg Oni Sigalla!
Aaron JF-Expert Member Joined Nov 18, 2010 Posts 3,019 Reaction score 4,693 Nov 21, 2017 #4 Hadi kwenye maneno...!!? Me naitwa chief hapa kitaa sijui kama ni matumizi sahihi ya hili neno maana sina hadhi ya kuitwa chief!?
Hadi kwenye maneno...!!? Me naitwa chief hapa kitaa sijui kama ni matumizi sahihi ya hili neno maana sina hadhi ya kuitwa chief!?
Fursa Pesa JF-Expert Member Joined May 30, 2012 Posts 4,631 Reaction score 3,527 Nov 21, 2017 Thread starter #5 Super Handsome said: BASATA inahusika VP na ufafanuzi Wa maneno? stupid..waulize BAKITA ama mtumie msg Oni Sigalla! Click to expand... Sio stupid, ni jambo la kuelimishana tu. Please mods fanyeni marekebisho toeni BASATA wakeni BAKITA. Asante kwa ufafanuzi.
Super Handsome said: BASATA inahusika VP na ufafanuzi Wa maneno? stupid..waulize BAKITA ama mtumie msg Oni Sigalla! Click to expand... Sio stupid, ni jambo la kuelimishana tu. Please mods fanyeni marekebisho toeni BASATA wakeni BAKITA. Asante kwa ufafanuzi.
Fursa Pesa JF-Expert Member Joined May 30, 2012 Posts 4,631 Reaction score 3,527 Nov 21, 2017 Thread starter #6 Asanteni Wahariri kwa kazi nzuri ya kuhariri na kuweka uzi huu kwenye jukwaa lake sahihi.