BAKITA yakemea matumizi ya neno "Habari Mpasuko"

BAKITA yakemea matumizi ya neno "Habari Mpasuko"

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
2,780
Reaction score
6,607
Tamko la Baraza la Kiswahili Tanzania (BAKITA) kuhusu neno "Habari Mpasuko"

Fd5wNEFXEAAcQ9j.jpg
 
Na Hii ya kunywa Double kick wenyewe wanaita kumwagilia moyo.Mkalitazame na hili.
 
Matumizi ya lugha hutofautiana kulingana na tukio, katika matangazo ya biashara tunaweza violate sheria za lugha.. halafu ni vyema waseme na kutoa ushauri ila kusema linakemea si sahihi..
 
Back
Top Bottom