BAKITA yakemea matumizi ya neno "Habari Mpasuko"

Na Hii ya kunywa Double kick wenyewe wanaita kumwagilia moyo.Mkalitazame na hili.
 
Matumizi ya lugha hutofautiana kulingana na tukio, katika matangazo ya biashara tunaweza violate sheria za lugha.. halafu ni vyema waseme na kutoa ushauri ila kusema linakemea si sahihi..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…