SI KWELI Bakteria walio kwenye maziwa ya Mtindi ni wale wanaopatikana Ukeni

Baada ya kuitathmini taarifa hii, tumebaini kuwa si ya kweli.
Wanaweza kuwa ni same bacteria but.. wakawa na uwezo tofauti kulingana na mahali husika wanapotokea
 
Hizi mada zingine za kutaka kutapishana
 
Sasa kama ni hivyo kwahiyo hata sisi wanywa mtindi tunahatari ya kupata saratani ya koo kama wale wakula uchi
 
Ni wakati sasa kuanza kutumia kipochi manyoya ya pisi yangu ya pale Africana kutengenezea mtindi kwa kugandisha maziwa fresh.

Naamini maziwa yataganda faster maana ile pisi ina mbususu chachu sana
Usije ukakutana na discharge ya yeast infection tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…