ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,753
- 9,575
ni baba ake na senkorobakulutu ni nani ?
waungwana tumuombee sana bakulutu anaumwa sana tena sana kwa habari nilizopata kwa ndugu yake wa karibu anasema amelazwa tumbi kibaha kwa yeyote anayetaka kumuona aende pale tumbi au awasiliane nami au ruttashobolwa kwa ajili ya kwenda huko kumuona jamani wanajf tumuombee kwa dua na sala zetu zote mungu amponye.
ni baba ake na senkoro
ndugu yangu hii habari ilishapita muida mrefu na ameshapona muda mrefu wewe kibeneke chako chakuwasha sijui nn mpaka unakomalia kitu kisichokuhusu yatakushinda tena sana mwanaume sio mbea na waonyesha kuwa libeneke likubwa sana
innanlilah rajuun