Umewahi kujiuliza Kwa nini huwa wanaenda kupiga Kura?HUYO JAMAA WA DAR KIUKWELI AMETUKWAZA SANA KIPINDI CHA MIAKA MITANO ILOPITA,Alikuwa katibu mwenezi wa CCM badala ya kukemea.
Yupo na yule MALASUSA hawakusimama kiimani Bali walikuwa kimaslahi ya chama.
Lazima bahasha zitembee, atakuja bure, nauli ya ndege na pakulala?Kusoma Duwaa kwani kunakulipwa?
Mnalumbana kwa sababu ya Kusoma Duwaa!!
Punguzeni maneno maneno yasiyofaida
Kusoma Duwaa kwani kunakulipwa?
Mnalumbana kwa sababu ya Kusoma Duwaa!!
Punguzeni maneno maneno yasiyofaida
Hukusikia akijiita Shee Mkuu wa Mkoa...!!!Ninajua Sheikh wa Mkoa was Dar es Salaam alizoea kualikwa katika hafla mbalimbali za kitaifa na pengine alikuwa anafaidika kinamna fulani, sasa anaelekea kuvuka mipaka.
Mamlaka yake yanaishia Dar es Salaam lakini inaonekana uamuzi was kuhamia Dodoma ulimuumiza sana sasa kaamua kuvamia hafla za Viongozi /Serikali hapa Dodoma. Ina maana Dodoma hakuna Sheikh wa mkoa? Kwa nini huyu was Dar es salaam aje Dodoma?
Hizi ni chokochoko, tunaomba BAKWATA Dodoma wakatae, kama ni posho wote tunazitaka, was DSM mlizila sana kipindi serikali iko DSM, sasa ni zamu yetu
N.B
Alhaji Mussa leo yuko Dodoma katika hafla ya siku ya mazingira Duniani
HUYO JAMAA WA DAR KIUKWELI AMETUKWAZA SANA KIPINDI CHA MIAKA MITANO ILOPITA,Alikuwa katibu mwenezi wa CCM badala ya kukemea.
Yupo na yule MALASUSA hawakusimama kiimani Bali walikuwa kimaslahi ya chama.
π€π€π€π€π€π€π€π€π€π€πHizi ni chokochoko, tunaomba BAKWATA Dodoma wakatae, kama ni posho wote tunazitaka, was DSM mlizila sana kipindi serikali iko DSM, sasa ni zamu yetu