Mohamed Abubakar
JF-Expert Member
- Jun 26, 2014
- 984
- 1,179
Moyo wangu unajisukuma kuandika haya, kwa kuwa naona kesho.
Ndani ya muda mchache kuanzia sasa Baraza kuu la waislam wa BAKWATA litatoa tamko kuwa ni sahihi kwa walinzi wa Rais kuingia na kuchanganyika na wanawake.
Sababu kuu ikiwa ni Quran haijakataza kuchanganyika sawa na tofauti za kijinsia.
Bakwata inasema uharamu sio kuchanyakinyia kati ya wanawake na wanaume. Bali uharamu ni kushiriki kwa waislam kuwa kiongozi ambae atalazimika kufungua viwanda vya pombe, kufungua biashara za casino na mfano wa hizo ambazo ni kinyume na uislam.
Kuhusu kuchanganyika kati ya wanaume na wanawake msikitini hakuna ayah ndani ya Quran iliyokataza hilo.
Na kwamba tupo tunatawaliwa na serikali isiyo na dini. Na hivyo tunapaswa kuitii
Hili ni tamko linalotarajiwa kutolewa na bakwata kufuatia sakata wa walinzi wa rais kuingia na kujichanganya katika kati ya waumini wanawake msikitini.
Mjadala mkuu ni je kama sababu ni za ulinzi je walinzi wanawake pekee hawaamini.
Na ikitokea walinzi kuingia na mbwa au nguruwe msikitini kwa vigezo cha ulinzi wa rais pamoja na uharamu wake je bado bakwata watakubaliana na hilo.
Naona kesho, naomba mbali
Pia soma:
-Rais Samia kuingia na mlinzi wa kiume msikitini, ni jambo la kawaida. Tuache Mihemko isiyo na Tija
- Shura ya Maimamu Tanzania: Mlinzi Mwanamume wa Rais kuvaa Hijabu na kuingia Msikitini