Tetesi: Bakwata kusimamia ujenzi wa chuo kipya cha kiislam

byembalilwa

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2012
Posts
2,059
Reaction score
946
Msemaji wa mufti amesema ahadi iliyotolewa na waziri wa masuala ya dini wa Saudia Arabia kujenga chuo kikuu kipya cha kiislam nchini Tanzania ni mwendelezo na matokeo ya ziara ya mufti nchini Saudia Arabia.
Swali, Bakwata hamna ardhi mpaka muombe serikali iwapatie ardhi?
 
Kama kitaendelea kuendeshwa na wafadhili kitakua chuo kizuri sana. Lakini wakikabidhiwa majengo wachumia tumbo bakwata watafugia kuku.
 
Ni kweli wakisimamia wenyewe hilo jengo halitaisha maana huwa kuna baadhi wanakuwa na ubinafsi sana
 
Msemaji wa mufti amesema ahadi iliyotolewa na waziri wa masuala ya dini wa Saudia Arabia kujenga chuo kikuu kipya cha kiislam nchini Tanzania ni mwendelezo na matokeo ya ziara ya mufti nchini Saudia Arabia.
Swali, Bakwata hamna ardhi mpaka muombe serikali iwapatie ardhi?
Ardhi yote ya Tanzania ni Mali ya serikali.
 
Back
Top Bottom