Mkongwe Mzoefu
JF-Expert Member
- Aug 10, 2018
- 861
- 2,515
Bagonza na Mwamakula wanatoa mawazo binafsi sio ya makanisa yao wanayoongoza.Askofu Bagonza (PhD) na Askofu Mwamakula wameonyesha kumuunga mkono Lissu mbeba maono.
Na hata pale TEC wapo mapadri wengi Sana wenye mrengo wa kumuunga mkono Mh Lissu, kanisa Katoliki halipendezwi na siasa zinazoendeshwa na Chama Cha mapinduzi chini ya dikteta Magufuli.
Hao ni viongozi wa kiroho automatically wakitoa hayo maoni wamewakilisha jumuiya zao.Bagonza na Mwamakula wanatoa mawazo binafsi sio ya makanisa yao wanayoongoza.
Hivi MNA kwama wapi katika matumizi bora ya akili zenu?
Wanaunga mkono mtu anaesababisha kupungua kwa sadaka makanisani na misikitini Wana akili Hawa kweli.Waumini gomeni kutoa sadaka wafe njaa Hawa vibarakaBakwata, CCT na TEC ni taasisi zinazofanya kazi chini ya Jatibu wa NEC (itikadi na uenezi)
Jana ulikuwa mufti, leo wao hata hawawazi juu ya masheikh walioko kizuizini.
True bakwata si waislamu bali ni tawi la itikadi la ccm kuubomoa uislamu.Bakwata na Uislam ni vitu viwili tofauti kabisa, huwa nahuzunika sana Uislam unapokashifiwa kwa kuhusishwa na kikundi hiki
Inaweza ukatumia vote yake ikawatoa gerezani pia.Waislamu ndio wameamua wakae gerezaniMkuu Kwani bakwata ndo iloyowapeleka masheikh wake magerezani ?
Kama alivyofika bei Mwamakula na Bagonza?Naona Masheikh sasa wamefika bei ..... Asubuhi tulisikia wa Dar anaunga juhudi, sasa kafuata wa Mtwara!!
Nilikuwaga najua waislam sio wanafiki kumbe bora sisiBARAZA Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA), Wilaya ya Mtwara Mjini limetoa tamko na kuomba dua kwa Rais John Magufuli.
Tamko walilotoa ni kumuunga mkono achaguliwe kuwa Rais kwa awamu nyingine ili aweze kuiongoza nchi...
Lete habari ya maana kwani hujui bakwata kuwa nitawi la ccm limejivika joho lausilamu ilikuiangamiza dini jiulize kama ingekuwa ni chombo cha waislam nilini waislam kwa ujumla wao tukakubaliana tumuunge mkono yupi naomba na taasisi zingine ziwe wazi ila siombaya bakwata viongozi wawaunge mkono ccm ila waumini we kislam kilammoja achague anakokutakaBARAZA Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA), Wilaya ya Mtwara Mjini limetoa tamko na kuomba dua kwa Rais John Magufuli.
Tamko walilotoa ni kumuunga mkono achaguliwe kuwa Rais kwa awamu nyingine ili aweze kuiongoza nchi...
Udini gani sasa!? Kwani Magu ni Mwislamu!?Udini huu
Kwa nini hukumshawishi best yako JK juu ya kutenganisha hili?Bakwata na Uislam ni vitu viwili tofauti kabisa, huwa nahuzunika sana Uislam unapokashifiwa kwa kuhusishwa na kikundi hiki
Askofu Bagonza (PhD) na Askofu Mwamakula wameonyesha kumuunga mkono Lissu mbeba maono.
Na hata pale TEC wapo mapadri wengi Sana wenye mrengo wa kumuunga mkono Mh Lissu, kanisa Katoliki halipendezwi na siasa zinazoendeshwa na Chama Cha mapinduzi chini ya dikteta Magufuli.
Kirefu Cha Bakwata NiBakwata na Uislam ni vitu viwili tofauti kabisa, huwa nahuzunika sana Uislam unapokashifiwa kwa kuhusishwa na kikundi hiki
Bakwata DSM yenyewe bado haijatangazaBARAZA Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA), Wilaya ya Mtwara Mjini limetoa tamko na kuomba dua kwa Rais John Magufuli.
Tamko walilotoa ni kumuunga mkono achaguliwe kuwa Rais kwa awamu nyingine ili aweze kuiongoza nchi...