Kwanini hutaki tume huru ya uchaguzi?Hakuna serikali inayoweza kuona chokochoko za kuhatarisha usalama wa nchi ikakaa kimya,Wakati cuf ilipokuwa na nguvu na kupelekea kina Lipumba kupigwa na kukamatwa mbona hukuhamasisha maaskofu wakemee? Tuiache jamhuri ifanye kazi yake.Hakuna mtu aliye juu ya Sheria,Viongozi wa dini waendelee kukemea tuache Zina, pombe na mambo mengine.
Kila kitu kina taratibu,Huwezi ghafra unalazimisha jambo ambalo linahitaji muda, Hayo madai kwanini ushupaze shingo sasa? Na kwanini ni wewe tu wakati vyama vipo vingi? Mlikatazwa hata kufanya mikutano leo hii mnaranda Kila mahala hata hili huoni ni mabadiliko?Kwanini hutaki tume huru ya uchaguzi?
Kubambikizia kesi ndo amani
Kuiba Imani ya wananchi ndo amani?
Bakwata ni tawi la CCM, sasa kibaya zaidi Rais ni wa dini yao, hata akaua watanzania woote akabakiza waislamu, kwao Bakwata ni sawa tu!BAKWATA ni Moja kati ya taasisi kubwa ya kidini hapa nchini
Sijui jukumu lake ni kuangalia mwandam wa mwezi na kutangaza sikukuu ya Eid tu au kuchinja ngamia pale uwanja wa Biafra Kinondoni
Kuna dhulumu za watawala wanatenda Kwa wapinzani ikiwemo kubambikizia kesi watu za uhaini, kunyima katiba mpya, kutokuwepo Kwa tume huru ya uchaguzi n.k
Hizi ni dhuruma za haki za watu
Taasisi kama BAKWATA tulitegemea itoke ikemee machafu haya
Leo kanisa katoliki Tanzania wametoa ujumbe wa Pasaka na kukemea hayo machafu na dhuruma za haki za watu
Nashauri BAKWATA muige na msimamie haki na amani ya Taifa letu