Ndalilo JF-Expert Member Joined Jan 30, 2013 Posts 3,343 Reaction score 7,516 Apr 20, 2023 #21 Doctor Ngariba said: BAKWATA hawawezi kujua sikukuu ni lini ila inategemea muandamo wa mwezi. Click to expand... Suni hawana kwekwere, Bakwata wanawasikilizia wao, Suni anatangulia kula Eid, kama vipi tuwaulize wao!
Doctor Ngariba said: BAKWATA hawawezi kujua sikukuu ni lini ila inategemea muandamo wa mwezi. Click to expand... Suni hawana kwekwere, Bakwata wanawasikilizia wao, Suni anatangulia kula Eid, kama vipi tuwaulize wao!
pass over JF-Expert Member Joined Feb 11, 2023 Posts 362 Reaction score 336 Apr 20, 2023 #22 Watu wamechoka
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Apr 20, 2023 #23 Sikukuu imeanza tokea jana...
D dos.2020 JF-Expert Member Joined Feb 17, 2009 Posts 11,880 Reaction score 10,372 Apr 21, 2023 #24 ni mwendawazimu tu ambae anaendelea kuwaamini, kuwasikiliza na kuwafata Bakwata. Sisi leo ni Eid hapa Dar es Salaam.
ni mwendawazimu tu ambae anaendelea kuwaamini, kuwasikiliza na kuwafata Bakwata. Sisi leo ni Eid hapa Dar es Salaam.