Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Kuwepo au kutokuwepo kwa amani ni matokeo tu. Kwanini anakwepa kuongelea na kusisitiza misingi inayopelekea kuwepo au kutokuwepo kwa amani?Hatuwezi kulinda amani wakati wanaume wetu wanakamatwa na kulawitiwa. Kemea ulawati na police brutality kwanza.
Kama wanashindwa kutangaza Idd tu kwa wakati hakuna jambo wanaweza tuambia wananchi tukawaelewa waache kutumika dunia nzima jana wamesali Idd wao leo walitoa wapi kua ndio siku kuuKatibu Mkuu wa Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA), Alhaj Nuru Mruma, amesema baraza hilo linawahimiza Waislamu na Watanzania kwa ujumla kulinda amani iliyopo nchini, kwani bila uwepo wa amani shughuli za kimaendeleo katika jamii haziwezi kufanyika, na hata ibada pia hazitafanyika.
Akizungumza mara baada ya kuswaliwa kwa swala ya Eid al-Adh-ha kitaifa katika Msikiti wa Mfalme Mohamed VI, Kinondoni, jijini Dar es Salaam, Alhaj Mruma amesema:
"Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) linatoa wito kwa kila Mtanzania, kwa nafasi yake, kuilinda na kudumisha amani ya nchi yetu, kwani bila amani hakutakuwa na maendeleo yoyote katika jamii, na hata fursa ya kufanya ibada haitakuwepo."
Alhaj Mruma ametoa wito pia kwa wote watakaoshiriki katika Uchaguzi Mkuu mwaka huu kufanya siasa safi na kutumia vizuri haki hii ya kikatiba kupitia ushiriki wao wa kuchagua viongozi au kuchaguliwa kuwa viongozi.
Amehimiza pia kuwa mamlaka zinazohusika na kusimamia uchaguzi zitende haki wakati wa mchakato mzima wa uchaguzi huu mkuu, ili haki hii ya kikatiba ipatikane kwa kila mwananchi.
View attachment 3358935
Genge HiloHiki kikundi kinafedhehesha sana Waislamu.
No Reforms, No Election.
Umeshiba Pilau Ya Wapi ?Ni jambo jema
No Reform No ElectionKatibu Mkuu wa Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA), Alhaj Nuru Mruma, amesema baraza hilo linawahimiza Waislamu na Watanzania kwa ujumla kulinda amani iliyopo nchini, kwani bila uwepo wa amani shughuli za kimaendeleo katika jamii haziwezi kufanyika, na hata ibada pia hazitafanyika.
Akizungumza mara baada ya kuswaliwa kwa swala ya Eid al-Adh-ha kitaifa katika Msikiti wa Mfalme Mohamed VI, Kinondoni, jijini Dar es Salaam, Alhaj Mruma amesema:
"Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) linatoa wito kwa kila Mtanzania, kwa nafasi yake, kuilinda na kudumisha amani ya nchi yetu, kwani bila amani hakutakuwa na maendeleo yoyote katika jamii, na hata fursa ya kufanya ibada haitakuwepo."
Alhaj Mruma ametoa wito pia kwa wote watakaoshiriki katika Uchaguzi Mkuu mwaka huu kufanya siasa safi na kutumia vizuri haki hii ya kikatiba kupitia ushiriki wao wa kuchagua viongozi au kuchaguliwa kuwa viongozi.
Amehimiza pia kuwa mamlaka zinazohusika na kusimamia uchaguzi zitende haki wakati wa mchakato mzima wa uchaguzi huu mkuu, ili haki hii ya kikatiba ipatikane kwa kila mwananchi.
View attachment 3358935
💪Hatuwezi kulinda amani wakati wanaume wetu wanakamatwa na kulawitiwa. Kemea ulawati na police brutality kwanza.
Amani ya nchi yetu ilindwe dhidi ya maadui wa kutoka nnje au ndaniKatibu Mkuu wa Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA), Alhaj Nuru Mruma, amesema baraza hilo linawahimiza Waislamu na Watanzania kwa ujumla kulinda amani iliyopo nchini, kwani bila uwepo wa amani shughuli za kimaendeleo katika jamii haziwezi kufanyika, na hata ibada pia hazitafanyika.
Akizungumza mara baada ya kuswaliwa kwa swala ya Eid al-Adh-ha kitaifa katika Msikiti wa Mfalme Mohamed VI, Kinondoni, jijini Dar es Salaam, Alhaj Mruma amesema:
"Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) linatoa wito kwa kila Mtanzania, kwa nafasi yake, kuilinda na kudumisha amani ya nchi yetu, kwani bila amani hakutakuwa na maendeleo yoyote katika jamii, na hata fursa ya kufanya ibada haitakuwepo."
Alhaj Mruma ametoa wito pia kwa wote watakaoshiriki katika Uchaguzi Mkuu mwaka huu kufanya siasa safi na kutumia vizuri haki hii ya kikatiba kupitia ushiriki wao wa kuchagua viongozi au kuchaguliwa kuwa viongozi.
Amehimiza pia kuwa mamlaka zinazohusika na kusimamia uchaguzi zitende haki wakati wa mchakato mzima wa uchaguzi huu mkuu, ili haki hii ya kikatiba ipatikane kwa kila mwananchi.
View attachment 3358935
Ngumu mno Bakwata kuhubiri Haki!Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) linatoa wito kwa kila Mtanzania, kwa nafasi yake, kuilinda na kudumisha amani ya nchi yetu, kwani bila amani hakutakuwa na maendeleo yoyote katika jamii, na hata fursa ya kufanya ibada haitakuwepo.
Hawa sio waislam ni tawi la ccmKatibu Mkuu wa Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA), Alhaj Nuru Mruma, amesema baraza hilo linawahimiza Waislamu na Watanzania kwa ujumla kulinda amani iliyopo nchini, kwani bila uwepo wa amani shughuli za kimaendeleo katika jamii haziwezi kufanyika, na hata ibada pia hazitafanyika.