Uchaguzi 2020 BAKWATA yakaa kikao cha dharura, yakemea viongozi wake kupiga kampeni na Dua kinyume na Uislam. Kuwachukulia hatua

Hakuna ubaya Bakwata kuipigia kampeni CCM!
Sasa unafikiri kwamba hao Bakwata wanaweza kumshawishi mtu asiyetaka kuichagua CCM akabadilika akaamua kuichagua. Hawana uwezo wa kuwashawishi watu
 
Nchi imekuwa ya vurugu vurugu tupu. Kila anaejipendekeza kwa Magufuli ujue kanunuliwa.

Magufuli unapata nini kutuaribia nchi yetu.
 
Nakumbuka ustaz Hassan ilunga Allah amrehemu alisema adui namba moja kwa waislamu ni Bakwata.
Aaisee hivi Ilunga nini hasa kilimuua? Dah jamaa alikua mchochezi haswaa. Yaani akielezea historia ya uhuru wa Tanganyika unaweza chukua mafuta na kiberiti ukachome kanisa.
 
Kwenye ile video clip amekiri kwa Kinywa chake kuwa Yesu ana mamlaka ya kufanya litokee jambo ama lisitokee.

Yesu ni Mungu sheikh kaona isiwe taabu ataihadaa nafsi yake hadi lini? Alhadi kawa mkweli maana anajua siku ya mwisho ya hukumu ya Mungu kwa wanadamu nani atakuwa kashikilia rungu. Asije akamuambia ondoka hapa sikujui wewe. Afate tu ule utaratibu akamilishe mambo.
 
Sidhani kama kuna maadili au sharia ya Uislam inapinga mtu kukiombea chama/mtu ashinde uchaguzi.
 
Aaisee hivi Ilunga nini hasa kilimuua? Dah jamaa alikua mchochezi haswaa.... Yaani akielezea historia ya uhuru wa Tanganyika unaweza chukua mafuta na kiberiti ukachome kanisa
Kisukari.
 
14 Oct 2020
Kawe, Dar es Salaam
Tanzania

DUA ya SHEIKH MKUU DSM Yawashangaza WATU, Aomba kwa JINA la YESU na MTUME, Ni kama SHAIRI...


MGOMBEA URAIS (CCM) Dkt John Magufuli, ameendelea na kampeni zake katika jiji la Dar es Salaam, ambapo leo Oktoba 14, amefanya mkutano wake wa kampeni katika viwanja vya Tanganyika Pakers vilivyopo wilaya ya Kinondoni...jijini Dar es Salaam Tanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…