BAKWATA yatoa tamko kuhusu joto la utekwaji na mauaji

bagamoyo

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2010
Posts
24,941
Reaction score
28,869
Ofisi za Makao Makuu
BAKWATA
Kinondoni Tanzania

BAKWATA YATOA TAMKO KUHUSU JOTO LA UTEKWAJI NA MAUAJI.


Tamko hilo rasmi la maandishi likisomwa na Sheikh Hassani Chizenga katibu wa baraza la Ulamaa Tanzania ambaye pia ni Sheikh, Hassani Chizenga mkurugenzi kitengo cha Dawa na Tbligh Tanzania kwa niaba ya Mufti Mkuu wa Tanzania atoa press release / taarifa kwa umma yenye pointi / nukta nane nzito kufuatia dhahama ya utekaji na mauaji nchini Tanzania

BAKWATA yataka uchuguzi wa haraka pia wa kina ufanyike kuwabaini, kuwakamata na kuwafikisha mahakamani watu wasiojukikana ...
 
Mpaka CCM useme ndo Jumuia zake zijitokeze.
 
Imaam Hussein Ibn Ali A.S kipenzi chetu cha dhati aingilie kati amani ya kudumu iwepo.
 
Reactions: K11
Ikaanza Police, ikaja CCM, ikaja BAKWATA, ikawa jioni, ikawa asubuhi, siku ya kwanza.
 
Better late than never. Japo sijui walikuwa wapi siku zote.

Wale ndugu zao TEC wametoa tamko lolote?
 
Wameonekana katekwa wa kwetu.
 
Walifukuzwa wamasai wa ngorongoro kutoka makazi yao ya asili, walikuwa wapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…