Balaa la King Kiba ndani ya Kigoma, Avunja rekodi

Robidinyo

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2016
Posts
4,043
Reaction score
8,686
Hawa Wote wamelipa ndugu watazamaji, Kule nangwanda mliona Hii ni Kigoma..
 
Bongo wachawi wengi sana na chimbuko lake ni chuki zisizo na sababu

Leo wamehamia kwenye nguo!
 
King Kiba king of bongoFleva king of the jungle king of the world
 
Picha za show za king wetu huwa zimekaa kiujanjaujanja ili tu ionekane kuna nyomi[emoji1][emoji1]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…