balaa lingine la Lady jaydee..

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Ule usemi wa ukubwa dawa,umezaa matunda kwa mwanamuziki wa bongo fleva nchini, Lady jaydee aka Anaconda, baada ya kuwa ndiye mwanamuziki pekee nchini Tanzania anayeongoza kuwa na mashabiki wengi kwenye mtandao wa kijamii wa FACEBOOk. Lady jaydee amefikisha FANS 150,956 hadi sasa akifuatiwa na Mtangazaji wa clouds fm mwenye kipaji cha kipekee na sauti yenye mvuto, Millard ayo ambaye yeye amejizolea ma Fans 150,653 huku namba tatu ikiwa imeshikilwa na mkali mwenyewe aka mfalme wa bongo fleva naseeb abdul au Diamond ambaye amejizoelewa ma Fans 138,471 hadi sasa kwenye mtandao huo wa kijamii wa FACEBOOK, hii inazidi kuonyesha ni jinsi gani lady jaydee anavyokubalika na kuungwa mkono na jamii katika kazi yake ya muziki,, BiG up kwa sana#TEAM ANACONDA
 
"balaa lingine" kumbe ndo kumsifia?
 
Reactions: Luv
Em nenda kachek masanja mkandamizaji ana fans wangapi. BTW sijakuelewa et, ulkuwa unamaanisha mwanamuziki mwenye fans wengi au celebrity mwenye fans wengi?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Em nenda kachek masanja mkandamizaji ana fans wangapi

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Anawatumiaje sasa hao fans? Maana nlikuwa fan wake akawa anapost utumbo, nkamu unlike, hana jambo jipya, anaweka ujinga,,so boring.

Msanii mwenye akili hata page yake haiboi ni Hamees Mwinjuma
 
Anawatumiaje sasa hao fans? Maana nlikuwa fan wake akawa anapost utumbo, nkamu unlike, hana jambo jipya, anaweka ujinga,,so boring.

Msanii mwenye akili hata page yake haiboi ni Hamees Mwinjuma

Eeh hili nalo balaa mkuu
 
Masanja Mkandamizaji

183,552 Fans

hao wote hawaoni ndani acha kukurupuka!
 
Achen kua mnaweka heading za uongo haipendezi
 
Kwan ina faida ??

Ile ni fan page, so inaonyesha kiasi gani msanii au mtu yeyote maarufu anakubalika na jamii,inafariji sometimes,sasa kama wewe super star halaf una follower 200 upo salama kweli??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…