balaa lingine la Lady jaydee..

a.k.a MwanaFatuma!...

Anawatumiaje sasa hao fans? Maana nlikuwa fan wake akawa anapost utumbo, nkamu unlike, hana jambo jipya, anaweka ujinga,,so boring.

Msanii mwenye akili hata page yake haiboi ni Hamees Mwinjuma
 
Headline uongo, stori uongo kwani si Jaydee anayeongoza kwa mafans...jamaa acheni uvumi wa kuhangaisha watu bure
 
Hii heading akiiona Shigongo anakupa ajira chap chap maana mi ninetumbika kwny uzi km nakimbizwa ni kilanga eti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…