Balaa: Masters UDSM na Mzumbe zapanda bei

hahahah kwakweli mi ningependa mke wangu awe na masters..... unaihitaji elimu dear/ ahhaa

Nilikuwa na mpango wa kuapply mwakani tena my fevaret chuo ni Mzumbe dili ishakuwa dirisha...
 
Aisee yaani ukisikia watoto wa masikini wataendelea kuwa masikini wa elimu na kila kitu ndo inajidhihilisha!!!yaani masterz kwa sasa ada ni 7milions cash!

Hapo bado accomodation, si balaa hii sasa!? daah!!

Jaribu MUHAS, Master degree M26 inazidi mpaka PhD!
 
Msaada wadau ninauliza vp soko la ajira la barchelor of commerce in banking and financial services hapo bongo,mim nimechaguliwa iyo pale udsm
vijana mnaoenda vyuoni nawapa usia na mzingatie kwa makini dunia ya sasa kwa mwaka hapa tanzania tu wanagraduate watu wengi sana mara kumi ya ajira ziliopo, cha msingi jiwekeeni mikakati mbadala, je usipoajiriwa utaishi vipi? na hili jambo ndiyo limeota mizizi kwelikweli, its a mental problem ina imetuathiri sana watanzania you have to have plan B KWENYE MAISHA YAKO, kwasababu hata ukibahatika kuajiriwa mshahara mara nyingi haukidhi mahitaji ya familia yako.
 
sababu ya kupandisha ada ya wanafunzi wa masters ni baada ya kugundua yakuwa wanafunzi kibao wanahitaji kupata masters zao toka udsm na wengi wao wakiwa wa nje yanchi na wahapahapa bongo pia!

Kukurupuka kubaya sana jamani,ona sasa umevaa chupi ya mkeo kichwani ukidhani Kofia.
 
Aisee yaani ukisikia watoto wa masikini wataendelea kuwa masikini wa elimu na kila kitu ndo inajidhihilisha!!!yaani masterz kwa sasa ada ni 7milions cash!

Hapo bado accomodation, si balaa hii sasa!? daah!!
Acha kulia lia fanyia kazi hiyo bachelor ukipata pesa ukasome!!
 
Unaakili sana wewe!
 
Aisee yaani ukisikia watoto wa masikini wataendelea kuwa masikini wa elimu na kila kitu ndo inajidhihilisha!!!yaani masterz kwa sasa ada ni 7milions cash!

Hapo bado accomodation, si balaa hii sasa!? daah!!

Mbona ndogo sana hiyo? kama unaona ni ghali jaribu ujinga
 
Msihangaike nendeni OPEN UNIVERSITY OF TANZANIA,na hizi ndizo ada zao:
MBA Evening program sh. 3,750,000/- (miezi 18)
MBA Executive program sh. 4,500,000/- (miezi 18)
MBA Distance programme sh. 2,250,000/- (hii unajisomea mwenyewe haina lecture za darasani)
MHRM Evening program sh.3,000,000/- (miezi 18)
MHRM Executive programme 3,600,000/- (miezi 18)
MHRM Distance program 1,800,000/- (unajisomea mwenyewe)
MPM Executive program sh.4,200,000/-
MPM evening program sh.3,500,000/-
MPM distance program sh. 2,100,000/-

JAMANI MIMI NIMEMALIZA OPEN NA NAPIGA HELA MTAANI BILA PRESHA. WANAPIGA LECTURE BALAA NA HAKUNA KUKAMATANA KWA CHUKI BINAFSI. WALIMU WAKO SO CLOSE NA WANAFUNZI

KWA TAARIFA ZAIDI TEMBELEA www.out.ac.tz UANGALIE PROSPECTUS YAO NA PIA UNAWEZA KU-DOWNLOAD APPLICATION FORM.
 
Aisee acha tu nimeomba Postgraduate Diploma ya Masscommunication UDSM-SJMC niliweka bajet ya milion mbili na nusu Ada,nimetumiwa adm letter ada kwa milion tatu na nusu dah,nitasoma mwakani aisee
........ha hahahahsh. Utasoma mwakani kwa ada ya mwaka gani. Elimu biashara.com
 
Tutasoma vyuo vya kata hamna shida elimu inaonekana sasa kupunguza wasomi badala ada iwe kidogo tuwe na wasomi wengi wanazidi kubana ............
 
Tutasoma vyuo vya kata hamna shida elimu inaonekana sasa kupunguza wasomi badala ada iwe kidogo tuwe na wasomi wengi wanazidi kubana ............

Lakini kumbuka demand imekuwa kubwa na gharama za uendeshaji zimepanda ndio maana ada nazo zimepanda. Anyway ndio maana nikapiga zangu OPEN
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…