Balaa ya HIMARS, wanajeshi Warusi wafumuliwa 200 kwa mkupuo


Tena ilipaswa wafe zaidi ya hapo, inabidi Ukraine waongeze HIMARS zaidi, sababu za Warusi kufa wengi ni kwa vile wako kwenye nchi ya watu.
Soma historia namna Marekani walikufa Vietnam, ni vigumu sana kwenda kuua watu kwenye nchi yao, milima yao, mito yao, vichaka vyao... Ni ujinga.
 
Taarifa rasmi zinasema wanajeshi kati ya 400 plus wa Ukraine Huwa daily vitani na jumla inakaribia 300k ila Kwa Russia nadhani wamevuka 400k sio Kwa kichapo hicho
 
Wameuza fikra zao huru kwa watawala madikteta.
 
Mmmmh
 
Hawa The Sun ni motooo, wana footage nyingi sana za vifo vya warusi.
 
Hii ni propaganda na uongo mkubwa!! Tatizo la propaganda ni kwamba mwisho wa siku huwa haishindi vita! Propaganda ingekuwa inashinda vita urusi ingeshakuwa ni historia kuwepo!!

Hii habari ingekuwa ya kweli BBC na CNN zingeishadadia sana!! zingeipa airtime sana!! Ila kwa sasa hata BBC imeanza kujiweka kando kiaina baada ya kuona propaganda hazilipi kama ilivyotarajia!!
 
Kuna watu hawaamini
Ni wewe tu uliyeamini propaganda hizi!! Jiulize kama hii habari ni ya kweli kwa nini haionekani BBC au CNN!! Hakuna kitu kibaya cha kweli kitakachotokea kwa urusi na BBC au CNN isikitangaze!! Ukiona hakuna hii taarifa huko ujue ni propaganda za mitaani!!
 

Hili neno propaganda mlianza kujifunza tangu mwanzo wa kuparamia Kyiv, tuliwaambia imeshindikana mkasema propaganda
 
Kweli kabisa,hizi propaganda ni kuwapa ari askari wa ukraine waone kuwa wanawamaliza warusi na ushindi unakaribia!
Aina hizi za habari za kupika zimeshaletwa sana humu lakini mwisho wa siku hazijabadili chochote uwanja wa vita!
 
Hivi kulikuwa na wanajeshi milioni ngapi kwani? Maana tangu huyu mtoa mada aanze kutupia habari za kuuawa kwa wanajeshi wa urusi nafikiri sasa wanafika 2,000,000.
Jiulize huu mwaka wa ngap bado kuna mapigano
 
Urusi iliwaambia watu HIMARS hazifanyi tena kazi zimekuwa jammed!

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
Pita huko BBC ukutane na kipande hiki hapa ili ujue kuwa kumbe haujui!

Bryan Clark says Russia has managed to deploy hundreds of mobile electronic warfare units along the front line in an attempt to slow down Ukraine's counter-offensive. These range from GPS jammers to systems that suppress radar and prevent US aircraft identifying targets for Ukraine to attack.
Russian systems such as Zhitel and Pole-21 are proving to be particularly effective to jam GPS and other satellite links. They can disable drones that direct artillery fire and carry out kamikaze attacks on Russian troops.
Many of the sophisticated weapons provided to Ukraine by Nato countries are vulnerable to such jamming too because they use a GPS signal for navigation.
IMAGE SOURCE,INFOZAHYST
Image caption,
These hidden units go out in the field to track down Russian jammers so they can be destroyed
"Zhitel can jam a GPS signal within 30km of the jammer," says Mr Clark. "For weapons like [US-made] JDAM bombs, which use just a GPS receiver to guide it to the target, that's sufficient to lose its geolocation and go off target."
The same applies to the guided rockets fired by the Himars multiple rocket system, which made a big contribution to Ukraine's successful offensives last autumn.

Both sides have been trying to develop counter-measures against each other's jamming, including reprogramming weapons.
Bryan Clarke describes it as an intense competition of "move and counter-move".
Col Pavlenko does not deny that Russian systems can reduce the efficiency and accuracy of the weapons Ukraine has received from its Western partners. This just makes targeting Russian electronic warfare systems even more important, he says.
"Before we strike with a precision-guided munition, we have to provide intelligence. Is there any suppression in that area? If that area is affected by a jamming signal, we have to find the jammer and destroy it, and only then use this weapon."
 
Hawa The Sun ni motooo, wana footage nyingi sana za vifo vya warusi.
Hahahahaaa,hawa waliokuwa wanatuletea video game wakiaminisha watu ni footage huko uwanja wa vita!Jamaa walipiga hela sana za views huko youtube,baadae hadi wajinga walishtuka kuwa wanapigwa!Muulize vunjo aliyekuwa analeta hizo habari hapa,mbona kazikacha?
 
Mkuu bado uko nyuma sana ya utendaji kazi wa HIMARS. Hizo ngoma achana nazo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…