Balaa ya HIMARS, wanajeshi Warusi wafumuliwa 200 kwa mkupuo

Unapaswa kupiga brash Kiingereza chako, huenda hukuelewa kilichoandikwa kwenye hii article.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Kweli kabisa,hizi propaganda ni kuwapa ari askari wa ukraine waone kuwa wanawamaliza warusi na ushindi unakaribia!
Aina hizi za habari za kupika zimeshaletwa sana humu lakini mwisho wa siku hazijabadili chochote uwanja wa vita!

Miaka miwili sasa sheikh mkisema propaganda...
 
Sio askari wanaua, ni silaha za maangamizi makubwa, yaani HIMARS, Storm Shadow na mazagazaga mengine, moto yaani moto....
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ inabidi nicheke tu unavyosimuliaga ni kama vile upo kwenye tukio unaliona kwa uhalisia kabisa....mahaba mabaya sana
 
Hivi kulikuwa na wanajeshi milioni ngapi kwani? Maana tangu huyu mtoa mada aanze kutupia habari za kuuawa kwa wanajeshi wa urusi nafikiri sasa wanafika 2,000,000.
Huyu jamaaa mpuuzi sana habari anazo zileta humu niza kizishushi tu na propaganda anazi -copy kutoka kwenye idara za propaganda za jeshi la Ukraine picha nyingi na video clips zikko digitally manipulated ie hazima ukweli wowote i.e zimegushiwa tu - Wamerikani wenyewe wanakiri kwamba siku hizi HIMARS hazitambi tena kwenye anga la Urusi - leo hii wewe unatujia na stori za Alinacha kwamba sijui jengo gani limelipuliwa na HIMARS roketi killing serval Russia military officers - tupatie source nyingine zaidi ya Ukraine propagada sources.
 
Anachekesha sana!!
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ inabidi nicheke tu unavyosimuliaga ni kama vile upo kwenye tukio unaliona kwa uhalisia kabisa....mahaba mabaya sana

Utandawazi bana, Mrusi bado anapigana kwa kutumia mbinu za WWII, wenzake wako kisasa, meli ya gharama inapigwa na drone, wanajeshi 200 wanaondoshwa kizembe....
 
Utandawazi bana, Mrusi bado anapigana kwa kutumia mbinu za WWII, wenzake wako kisasa, meli ya gharama inapigwa na drone, wanajeshi 200 wanaondoshwa kizembe....
Nani kakwambia kwamba unmanned drones ziliwahi kutumika in WW2?? Unabuni tu kinacho kujia kichwani - atypical seasoned liar.
 
Nani kakwambia kwamba unmanned drones ziliwahi kutumika in WW2?? Unabuni tu kinacho kujia kichwani - atypical seasoned liar.

Tumia ubongo sheikh, hii operesheni ya Mrusi imemtokea puani kisa tactics za WWII ambazo kwa ulimwengu wa leo ni ujinga, labda uje uzitumie Afrika maana sisi tumechelewa kiaina.

Msafara wake uliliwa kizembe sana.
 
Akli zake uzijuaga yeye mweyewe..

Tumia ubongo sheikh, hii operesheni ya Mrusi imemtokea puani kisa tactics za WWII ambazo kwa ulimwengu wa leo ni ujinga, labda uje uzitumie Afrika maana sisi tumechelewa kiaina.

Msafara wake uliliwa kizembe sana.
Na za kwenu huko Somalia zimewatokea wapi - jeshi lenu la Kenya na makamanda wao wakiwa na akili zao timamu badala ya kupigana vita wanakwenda kuvamia misitu ya Somalia wanakata miti wanachoma mkaa na kwenda kuuza huko Uarabuni - akija hapa anajitia kuwakejeri Waarabu.
 
Anayeamini habari zq MK254 inabidi achunguzwe akili. Jamaa ana habari fake sana
Nimewahi kusoma habari zake nyingi ndio nikagunduwa kwamba tatizo lake kubwa aelewi vizuri masualaya Geopolitics na masuala hasa hasa ya teknolojia uelewa wake ni dismal kabisa, nadhani huyu ni miongoni mwa baadhi ya Wakenya wanaokwenda kufundisha kiswahili kama huko Nordic Mations au wanaziga mataifa hayo na kujifanya wakimbizi wa siasa kwenye Nordic Countries.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…