Balaa ya HIMARS, wanajeshi Warusi wafumuliwa 200 kwa mkupuo

Ninachokiona Hapa Ni chuki tu ya wale mashabiki wa Russia dhidi ya hii habari. Kukataa ukweli wa hii habari haitafanya wanajeshi wa Russia wafufuke.

Tangu mwanzo wa hii Vita warusi wanadestuli ya kukusanyika pamoja kana kwamba Ni wajomba wanaoenda kutoa posa ukweni, hawawezi kukwepa hasara za namna hii
 
Someni historia jamami - yaani mnachezea jeshi lililo wahi kushida jeshi la KINAZI la Hitler na Napoleon Bonaparte, mnafikiri. waliwashinda majeshi hayo hatari kwa kudra za Mungu!!! Sasa subirini NATO ijitie kupigana ana kwa ana na Urusi muone kitakacho tokea, unless wote wawe wenda wazimu wahamuwe kuiteketeza Dunia nzima kwa silaha za Nuclear, sioni hata mmoja mwenye ubavu wa kujaribu such a duel.
 

Najua hizi hasira zote zinakutesa maana Mrusi ndiye alikua tegemeo la waarabu wenu dhidi ya USA, asa keshaliwa, tena na kainchi kadogo, pole sheikh....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…