Balaa! Yanga kwenye domo la Etoile Du Sahel

DAKA MTUMBA

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2014
Posts
1,288
Reaction score
801
Hao hapo.
Mtakoma kujuta mbona.
Alafu wanavaa jezi za kiume dadadeki!!!
 

Attachments

  • images-1.jpeg
    18 KB · Views: 1,039
  • images.jpeg
    12.8 KB · Views: 1,078
Natamani kuona rekodi zao kati ya etoel na yanga kwa ngz hizi
 
Hawana lolote hao, hapo tuwaanzie fitna wakija tunawaandalia kalandinga tunawapeleka hadi kilwa halafu ndio tunawapeleka hotelini kudadekiii... halafu naomba sana timu Yanga ianze kupeleka viwanja vya mbali... ntafurahi kama mechi hii itapigwa katika uwanja wa Manungwi huko Mtibwa
 
yanga itabidi tuwafunge hao jamaa angalau goli tatu hapa dar ili kujiwekea mazingira mazuri
 
Hawa jamaa si ndo wale tunaowadai hela zetu za uwanja wa Bunju? Aisee naweza kujikuta nashabikia Yanga kwa mara ya kwanza.
 
Ao etoile du sahel ni wazuri lkn lazima tuwafunge kwa style yoyote ile kibra inawahusu na ivg wanatumia jezi km za mikia
 
Hawa jamaa si ndo wale tunaowadai hela zetu za uwanja wa Bunju? Aisee naweza kujikuta nashabikia Yanga kwa mara ya kwanza.

Nasikia Aveva ameapa hawatatoka Bongo hadi wailipe Simba USD 300,000 kama ilivyoamriwa na FIFA. Napongeza mkakati huu wa Aveva, bila shaka watalipa deni hilo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…