Kristonsia Nkya
JF-Expert Member
- Jun 24, 2013
- 302
- 292
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Eti Tanzania ni nchi pekee ambamo utakuta mschana anaenda mwenyewe kwa sonara, anachongesha pete kwa garama yake, anaandaa engagement party kwa garama yake,, alafu siku ya kuvalishwa pete eti anazimia kwa furaha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huu ujinga
Nimecheka sana hasa kipengele cha anazimia kwa furaha!!!!Eti Tanzania ni nchi pekee ambamo utakuta mschana anaenda mwenyewe kwa sonara, anachongesha pete kwa garama yake, anaandaa engagement party kwa garama yake,, alafu siku ya kuvalishwa pete eti anazimia kwa furaha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huu ujinga